Al-Hijr 15:71

Compare 2 Swahili translations

قَالَ هَٰؤُلَاءِ بَنَاتِي إِنْ كُنْتُمْ فَاعِلِينَ

القرآن الكريم

DragHold to move · × to hide

Akasema: Hawa binti zangu, ikiwa nyinyi ni watendaji.

Ali Muhsin Al-Barwani

Akasema, "Hawa binti zangu (waoeni), ikiwa nyinyi ni watendaji."

Rowwad Translation Center