Al-Isra' 17:81

Compare 2 Swahili translations

وَقُلْ جَاءَ الْحَقُّ وَزَهَقَ الْبَاطِلُ ۚ إِنَّ الْبَاطِلَ كَانَ زَهُوقًا

القرآن الكريم

DragHold to move · × to hide

Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke!

Ali Muhsin Al-Barwani

Na sema, "Haki imefika, na batili imetoweka. Hakika batili lazima itoweke!"

Rowwad Translation Center